Mbeya City watakuwa nyumbani dimba la Sokoine wakiwakaribisha Coastal Union
Saa 8:00 mchana,
Katika msimamo Mbeya City ana alama 21 huku Coastal akiwa na 22.
Dodoma Jiji watakuwa uwanja wa Airtel wakiwakaribisha Young Africans(Yanga SC).
Saa 10:15 jioni.
Tags
Ratiba