Klabu ya soka ya Young Africans imejipata katika rungu la FIFA kwa kufungiwa usajili na uhamisho. Kilabu nyingine kutoka Tanzania ni Pamba Jiji Fc.
Vilabu hivyo vimefungiwa kuanzia tarehe 7 May, 2026 na kwa sasa havina uwezo wa kusajili wachezaji wapya hadi marufuku hiyo itakapoondolewa na FIFA baada ya masuala ambayo yalikuwa hayajakamilika kutatuliwa.
Hivi ndivo vilabu vya Tanzania vilivo katika rungu la FIFA hadi sasa.
- Pamba Jiji Football Club - 07/05/2026
- Young Africans Sports Club - 07/05/2026
- TRA United Sports Club - 07/05/2026
- Dodoma Jiji FC - 29/04/2026
- TRA United Sports Club - 04/05/2026
- Kengold SC - 01/10/2025
- Fountain Gate FC - 01/01/2026
- Kengold SC - 15/12/2025
- Fountain Gate FC - 17/02/2026
- TRA United Sports Club - 03/03/2026
- BigMan Football Club - 17/03/2026
- Fountain Gate FC - 22/04/2026
Tags
Habari